panic

n 1 hofu kubwa inayomwingia mtu ghafla. 2 muda wa kushikwa na hofu. ~ stricken adj -lioshikwa na hofu kubwa ya ghafla hata kutofikiri sawasawa. vt,vi -wa na wasiwasi, hangaika, shikwa na hofu. panicky adj. ~-monger n mtiaji, mchochea hofu.