panel

n 1 paneli: kipande kimojawapo katika vipande mbalimbali vilivyoungwa kufanya mlango. 2 sehemu ya vifaa vya kuendeshea chombo. 3 jopo; orodha ya wanajopo. 4 paneli: kundi la wazungumzaji waliochaguliwa kuwa wasemaji wakuu katika majadiliano kadhaa. 5 (leg) majina ya wajumbe wa baraza la wazee vt pigilia/weka upapi ~ a door pigilia paneli mlangoni. panelling n paneli za ukutani.