panda

n panda: aina ya dubu wa rangi nyeusi na nyeupe apatikanaye Tibeti. P~ car n (GB) gari la doria la polisi. P~ crossing n (GB) kivuko milia cha kujiwashia taa.