pan

pan

1 n 1 sufuria; kiokamikate. frying ~ n kikaango, tawa. ~ cake n gole, chapati ya maji. P~ cake Day n Jumanne ya kabla ya Kwaresima. ~ cake landing n kutua kwa tumbo kwa ndege; poda. 2 mtitio wa ardhi. 3 brain ~ n funiko la juu la ubongo. 4 sahani ya mizani.5 sinia la kusafishia metali anuwai. 6 mtambo baruti. 7 hard ~ n udongochi mgumu. 8 (sl) uso. vt 1 ~something off/out safisha (mchanga wenye dhahabu) ndani ya sinia. ~ out toa dhahabu; (fig) faulu, fanikiwa; tokea. 2 (colloq) kosoa sana, kengemeka.

pan

2 vi,vt (cinema and TV) elekeza kamera kulia/kushoto (ili kuvinasa vitu vinavyojongea).