pall1 n subaya, deuli. ~ bearer n 1 mbeba jeneza/msindikiza jeneza mazishini. 2 (fig) guo zito na jeusi a~ of smoke moshi mzito.
pall2 vi ~ (on/upon) chosha, kinaisha. pallet n 1 godoro la majani makavu. 2 toroli, bao la kubebea mizigo.