pale

pale

1 n 1 kiguzo. 2 mpaka. (esp fig) beyond/outside the ~-liovuka mpaka, siokubalika kijamii. paling n uzio/boma la viguzo. palisade n 1 boma, ua (wa viguzo vilivyo chongoka). 2 (pl) (US) n genge (agh kando ya mto). vt tengeneza ua kwa viguzo.

pale

2 adj -liokwajuka ~ blue samawati, buluu hafifu turn ~ kwajuka, sawajika vt,vi sawajika, kwajuka. ~ before/by the side of something (fig) shindikana; onekana dhaifu (mbele ya kitu kingine). palely adv. paleness n. palish adj -enye rangi iliyofifia.