palace

n 1 kasri; hekalu; jumba kubwa, jumba la mtawala/mkuu wa nchi/ mfalme/askofu n.k. 2 the ~ n watu mashuhuri; vigogo. ~ revolution n mapinduzi ya wenyewe kwa wenyewe/ya ndani. palatial adj -a jumba kubwa; -a anasa; -a kasri.