pair

n 1 jozi a ~ of shoes jozi ya viatu a ~ of scissors mkasi a ~ of trousers surali a ~ of spectacles miwani adj -a jozi, mbili mbili. 2 watu au wanyama wawili wanaoshi-rikiana sana; mume na mke in ~s wawili wawili. vt,vi panga/ weka/linganisha wawili; wa, linganisha viwili/wawili/ mbili/n.k. ~ off weka/enda kwa jozi.