paint

n 1 rangi. 2 dalia (ya uso). ~-box n sanduku la rangi. 3 (pl) rangi (za kuchorea). ~-brush n brashi ya kupakia rangi. vt,vi 1 paka (tia) rangi ~ the town red (colloq) enda kustarehe sana; toka na kusherehekea sana jambo. 2 chora picha za rangi. ~ something in ongezea picha kwa kuchora zaidi. ~ something out ficha/futa kwa kuchora au kupaka rangi. 3 (fig) fafanua, eleza habari. not so black as he is ~ed siyo mbaya kama anavyoelezwa. 4 jirembesha ~ one's face paka dalia usoni. painter n 1 mchoraji. 2 mpaka rangi. painting n 1 kupaka rangi. 2 kuchora picha (ya rangi). 3 picha/mchoro wa rangi; ustadi wa kuandika picha. paintress n (arch) mpaka rangi wa kike; mwandishi wa picha za rangi wa kike; mchoraji wakike.