pageant

n 1 tamasha, mchezo wa kuigiza mambo (habari, matokeo) ya zamani. 2 (vain show) tamasha/ sherehe (hasa zenye maandamano) beauty ~ mashindano ya uzuri (ya wasichana). pageantry n.