paedophilia

n hali ya kuvutiwa kimapenzi na watoto. paedophile n mtu avutiwaye na watoto kimapenzi.