paddock

n 1 uwanda wenye nyasi (hasa kwa ajili ya mazoezi ya farasi). 2 zizi la farasi wanapokusanyika kabla ya mashindano.