paddle

n 1 kafi, kasia. 2 kupiga kasia/ kafi polepole. ~ - box n ubao unaofunika sehemu ya juu ya gurudumu la kafi. ~ steamer n meli inayoendeshwa na magurudumu ya kafi. paddle-wheel n gurudumu la kafi. vi,vt 1 piga kafi; endesha mtumbwi kwa kafi ~ one's own canoe jitegemea. 2 tembeatembea majini (pasipo viatu). 3 (colloq) tembea, piga chapa. 4 piga ubao.