pad

n 1 kitu ororo cha kinga. 2 ngao/ kinga/pedi (ya mguu, mwili n.k.). 3 kitita/pedi ya karatasi za kuandikia. 4 pedi ya kupigia mhuri. 5 unyayo laini wa mbwa, mbwa mwitu, n.k. 6 jukwaa la kurushia makombora. 7 (sl) kitanda, chumba cha kulala. vt 1 jaza vitu vyororo. 2 ~ something out (books, speeches etc) refusha bila sababu ~ded-cell chumba chenye kuta zilizojaa vitu vyororo (katika hospitali ya wagonjwa wa akili). padding n vitu vyororo vya kujazia. vt,vi tembea, enda kwa miguu.