pack

n 1 mtumba, furushi, bunda, robota, mzigo. 2 (usu derog) genge, kundi a ~ of thieves kundi la wezi a ~ of nonsense upuuzi kabisa a~ of lies uongo mtupu. 3 kundi la wanyama wild dogs hunt in ~s mbwa mwitu huwinda kwa vikundi. 4 jozi/seti ya karata. 5 kiasi (cha nyama, samaki iliyohifadhiwa makoponi kwa msimu mmoja). 6 (compounds) ~-animal/ horse n mnyama/farasi anayebeba mizigo. ~ man n (arch) mchuuzi. pack-saddle n saruji la mizigo. ~-thread n kitani. 7 ~-ice n barafu tandavu baharini. vt,vi 1 ~ (up) (in, into) funga furushi/mzigo; fungasha. ~ one's bags jiandaa/ jitayarisha kuondoka. ~ it in acha (jambo). ~up (colloq) acha kufanya kazi; (sl) anguka, shindwa. 2 songa,jaza; songamana.3 funga kwa uangalifu kwa kuwekea vitu nyororo ~ the glasses in cotton funga glasi kwa uangalifu kwa kutumia pamba. 4 (sl) pachika silaha. 5 ~ somebody off fukuza, ondosha harakaharaka. send somebody ~ing fukuza mtu bila staha. packer n mtu/kitu kinachofungia mizigo/chakula. 6 funga/hifadhi makoponi. 7 chagua wanakamati (ambao unahisi wata kupendelea katika maamuzi). package n kifurushi, kirobota. ~age deal/ offer n (colloq) pendekezo/mpango wa jumla. ~age tour n (colloq) safari ya utalii ambayo mambo yote yamelipiwa pamoja. ~age store n (US) stoo ya bia. packaged adj -enye kuwekwa pamoja. vt funga katika furushi. packing n 1 kufunga mizigo do one's ~ing funga mizigo. 2 (stuffing) kitambaa (majani makavu n.k.) cha kuzuia kitu kisivunjike au kuharibika wakati wa kusafirisha, kibibo, kisongo. ~ing-case n kasha la mbao. ~ing-needle n shazia.