pacifism
n upinzanivita (nadharia ya kupinga vita vyo vyote). pacifist n mpinzanivita. pacify vt suluhisha, patanisha, tuliza, fanya/leta amani. pacifier n 1 msuluhishi, mpatanishi. 2 mpira wa mtoto, titibandia. pacific adj -a kupenda amani, -tulivu, pole n the Pacific/ Pacific Ocean Bahari ya Pasifiki. pacifically adv. pacification n suluhu. pacificatory adj.