pace

n 1 hatua. 2 mwendo (wa kutembea, kukimbia). keep ~ with somebody/something enda sambamba/sawasawa na. go at a good ~ enda/tembea kwa haraka. go the ~ enda kwa kasi sana; (fig) fuja pesa. set the ~ (for somebody) ratibu/ongoza mwendo; pimia mwendo stand/stay the ~ himili, weza kufululiza na wengine. ~-maker/setter n mwekaji/ mwongozaji wa mwendo; kifaa cha kurekebisha mapigo ya moyo. put somebody through his ~s pima uwezo wa mtu. vi,vt 1 tembea polepole; enda dalji. 2 ~ something off tembea tembea, pima kwa hatua ~ off a room pima chumba kwa hatua. 3 pima mwendo (wa mtu/ mnyama katika mashindano/mazoezi).