ox

n 1 ng'ombe. 2 maksai; ng'ombe wa kufugwa strong as an ~ -enye nguvu nyingi sana. oxbow n 1 nira ya ng'ombe. 2 ziwapinde. oxeye (bot) n mmea wenye maua kama jicho. ox-eyed adj -a macho makubwa kama ya ng'ombe. oxhide n ngozi ya ng'ombe. oxtail n mkia wa ng'ombe.