overwhelm

vt 1 shinda kabisa, angamiza; (of feelings) zidi, jawa na be ~ed with jawa/shindwa na. 2 (overrun) ingia kwa shari/nguvu; funika, gharikisha. 3 (cover) funikiza.