overstock

vt weka/nunua bidhaa nyingi kuliko inayoweza kuuzwa; weka mifugo zaidi ya unayoweza kulisha. n mizigo (bidhaa n.k.) iliyozidi.