overprint

vt 1 (photog) chapa kuwa nyeusi kuliko ilivyokusudiwa. 2 chapa nakala nyingi. 3 chapa maandishi juu ya maandishi mengine. n maandishi yaliyogandamizwa.