overhaul

vt 1 chunguza kwa makini (na kutengeneza ikibidi); (of engine) suka upya; (colloq) go to the doctor to be ~ed enda kwa daktari kwa uchunguzi (kuhusu afya).