overburden

vt lemeza, twisha mawazo mazito mno (k.m. huzuni). n udongo wa juu ya ardhi (ambao ni sharti uondolewe ili kufikia mkaa wa mawe).