overbid

vt,vi 1 (at an auction) shinda bei. 2 toa bei zaidi ya thamani ya kitu. 3 (bridge) taja thamani isiyoweza kufikiwa; taja thamani zaidi ya mwenzio. n kushinda bei; kutoa bei ya juu sana; (bridge) kutaja thamani zaidi.