outwalk

vt shinda kwa mwendo. outward adj 1 -a upande wa nje; -a kuonekana, -a usoni. 2 a kuelekea nje ~ly (also outwalks) adv kwa nje, usoni. ~-bound adj (of ship) -enye kuondoka kwenda mbali.