outstay

vt kaa, baki zaidi kuliko muda unaofaa ~ one's welcome kaa mahali muda mrefu mno (hata kuchukiza wenyeji wako).