outside

n 1 upande wa nje from the ~ kutoka nje on the ~ nje. 2 sura know only the ~ of something fahamu sura tu ya kitu. 3 (limit) upeo; mpaka. at the (very) - sanasana. 4 jalada. 5 (of football etc) wingi ~ left wingi wa kushoto adj 1 -a nje. 2 (of place) -a mwisho. 3 (work) -a nje ya kiwanda. 4 (of price) -a juu kabisa adv nje; barabarani; mbele ya nyumba prep nje ya. n 1 mtu asiye wa jamii/kundi/ chama; mtu asiyekubaliwa na jamii. 2 (colloq) safihi. 3 (racing) farasi asiyetegemewa kushinda.