outpost

n 1 (mil) mahali wanapolinda askari mbali na kundi kuu la jeshi. 2 makazi ya mbali, kituo cha mbali.