outline

1 mstari wa kuonyesha umbo au mpaka a map in ~ ramani ya mistari. 2 muhtasari. vt 1 chora mstari. 2 eleza kwa muhtasari.