outlet

n 1 mlango, tundu la kutokea maji/mvuke n.k. 2 (fig) fursa ya kutoa (hisia n.k. kutumia nguvu n.k).