outgrow

vt kua sana (hata nguo hazifai kwa kuwa ndogo); pita (mwingine) kwa kukua upesi; acha katika kukua (desturi mbaya, fikira za utoto); -wa kubwa kuliko. ~ one's strength kua haraka mno.