outer

adj -a nje the ~ man umbo la nje la mtu (wajihi, vazi n.k.). outermost adj -a mbali zaidi (kutoka kati); -a nje/juu kabisa.