out
adv part 1 (kwa) nje he is ~ hayumo (nyumbani) we don't go ~ these days hatutoki/hatutembei siku hizi be ~ tokuwepo; (of book in library) tolewa, azimwa; (of a dress) -siotumika siku hizi; (of workers) goma; (be mistaken) kosa I was ~ in my calculations nilikosea katika hesabu zangu you're not very far ~ hujakosea sana; (of cricket) tolewa. 2 toa, toka ~ of the way! simile! habedari! nipishe. ~ with it toa; sema! onyesha!. (in expressions) be ~ and about pata ahueni the book is ~ kitabu kimetoka the chickens are ~ vifaranga vimeanguliwa the roses are ~ mawaridi yamechanua the secret is ~ siri imetoka, imejulikana, imefichuliwa the sun is ~ jua limechomoza. 3 huko (mbali) my cousin is ~ in America ndugu yangu yuko huko Amerika. 4 (indicating exhaustion, extinction)! kuzimika/kwisha the light is ~ taa imezimika the lease is ~ mkataba umekwisha. 5 (indicating completion) kumaliza before the week is ~ kabla wiki haijamalizika. cry one's eyes ~ lia sana (hadi dukuduku linakwisha). ~ and ~ kabisa, kupindukia. ~and away kwa mbali sana she was ~and away the most intelligent aliwazidi wote akili kwa mbali sana. 6 kwa kutopatikana ~ of print sichopatikana. 7 (in phrases) be ~ for tafuta. ~ to -enye nia, -enye kujaribu/kutarajia. all ~ kwa jitihada zote. 8 ~ of nje ya fish cannot live ~ of water samaki huishi majini tu; (of motive or cause) (ku)tokana na he did it ~ of kindness alifanya kutokana na huruma; (from, among) 5 ~ of 10 failed watano kati ya kumi walishindwa; (by the use of) kutokana na she made a shirt ~ of a kitenge alishona shati kutokana na kitenge; (without) pasipo I'm ~ of money nimeishiwa (pesa) ~of work pasipo na kazi; (origin or source) kutoka/kutokea kwenye. be ~ of it tokaribishwa tokubaliwa, pweke; tohusika. 9 (used as n) the ins and (the) ~s wale walio ndani (ya shughuli fulani) na wasiokuwemo (of details) adj -a nje; towezekana. put the letter in an ~ tray weka barua katika trei ya (vitu vinavyokwenda) nje your request is ~ of question ombi lako haliwezekani. vt (sl or colloq) timua, fukuza.