other

adj,pron 1 -ingine. the ~ -a pili. every ~ (alternate) kila -a pili; kila -ingine. on the ~ hand upande mwingine ~ people watu wengine. ~ than zaidi ya, -sipokuwa some ~ day siku nyingine. the ~day juzijuzi. one after the ~; one after an ~ moja baada ya ingine; mfululizo. ~ things being equal kama mambo mengine yote yangekuwa sawa. the ~s -ingine. or ~ fulani someone or ~ mtu fulani. 2 tofauti I do not want her ~than she is simtaki tofauti na alivyo. prep ~ than isipokuwa, ila there's no teacher here ~ than me hakuna mwalimu hapa isipokuwa mimi adv vinginevyo. ~ -worldly adj -enye kuhusu/kufikiria dunia nyingine; -a kutopenda mambo/anasa za dunia. otherness n utofauti, wingine. otherwise adv 1 vinginevyo he is stubborn but ~wise likeable ni mkaidi vinginevyo hupendeka all his speeches, political and ~wise hotuba zake zote za siasa na vinginevyo. 2 kwa namna, upande mwingine conj la/ama sivyo do it now ~wise you will regret it ifanye sasa ama/la sivyo utajutia.