ossify

vt,vi fanya/fanyika ngumu kama mfupa; (fig) -tobadilika; fanya kutobadilika. ossification n. osseous adj -a mifupa, -a kama mfupa. ossuary n mahali pa kupokea/hifadhi mifupa ya wafu; pango la mifupa.