origin

n 1 asili; chanzo, mwanzo, chimbuko. 2 (ancestry) wazazi, ukoo, jadi, nasaba. 3 (cause) sababu. original adj 1 -a asili; -a kwanza. 2 (peculiar) -pya, geni, ajabu. 3 (inventive) bunifu, -enye akili za kubuni. n 1 lugha ya kwanza/asili (ya utungo), mtindo wa kwanza. 2 asili. 3 (of person) mbunifu, mtu wa (mtindo wa) pekee. originality n 1 kuwa na akili za kubuni (za kutunga, za kuvumbua). 2 (singularity) ajabu, upya. originally adv 1 kwanza; kwa asili. 2 kwa ubunifu, kwa akili za kubuni. ~ vt,vi ~ from/in something; ~ from/with somebody tokana na her novel ~ated from a short story riwaya yake ilitokana na hadithi fupi. originator n mwanzilishi; mtungaji; mwenye kubuni; mzushi; mvumbuaji.