orient

adj 1 (of the sun) -a mashariki, -a matlai; -a thamani. n the ~ nchi za Mashariki (k.v. Uchina, Japan n.k.). oriental adj -a mashariki, -a pande za Asia. n mtu wa nchi za mashariki. orientalist n mtaalamu wa mambo ya nchi za mashariki. orientate vt 1 jenga kuelekea mashariki (kama ni kanisa ili upande wa madhabahu ukabili mashariki). 2 elekeza mahali ~ate oneself fanya uelewe mahali ulipo; elewa mazingira. orientation n maelekezo ya mazingira.