organ

n 1 ogani: sehemu ya mwili au mmea ifanyayo kazi maalum k.v. mapafu, moyo, mizizi n.k. ~ of speech ogani za matamshi. 2 chombo ~ of public opinion magazeti, redio n.k.. 3 kinanda. ~ blower n mpuliza kinanda. organist n mpiga kinanda. organic adj 1 -a ogani; -a kiumbe hai. ~ic chemistry n kemia kaboni. 2 -a mfumo, -a sehemu zinazolingana. an ~ic whole n mfumo unaolingana. organically adv. organism n kiumbehai, kiumbe cha kikaboni.