ordnance

n 1 mizinga; zana za vita. 2 (mil) ~ survey n upimaji halisi wa ramani ~ (survey); ~ map ramani ya upimaji halisi wa nchi. ~ corps n kundi linalohusika kutoa/kuagiza vifaa vya jeshi.