ordinary

adj -a kawaida, -a desturi ~ days's work kazi ya kawaida an ~ person mtu wa kawaida. in an ~ way ikiwa mambo ya kawaida. in the ~ way kama kawaida. n 1 kawaida. in ~ a kudumu; mara nyingi, kwa desturi. out of the ~ si -a kawaida, -geni. 2 (rel) askofu. ordinarily adv. ordinariness n.