order

n 1 mpango, taratibu arrange in alphabetical ~ panga kialfabeti. in ~ of kwa kufuata, kwa mpango wa. 2 in ~ sahihi, sawa. in good ~ kwa utaratibu, hali ya utendaji safi my watch is in good working ~ saa yangu inaenda sawasawa the engine is not in good working ~ injini haiendi vizuri. out of ~ bovu. 3 amani, utulivu law and ~ sheria na amani. 4 nidhamu, taratibu (za midahalo). call to ~ kumbusha nidhamu. point of ~ swala la utaratibu. be in ~ to do something ruhusiwa. Order! Order! tusikilizane! ~of the day taratibu ya siku/agizo la siku. 5 amri he is under ~ to go alipewa amri ya kwenda. by ~of kwa amri ya. under the ~s of amriwa na, chini ya amri ya. 6 agizo we have received two ~s for ploughs tumepata maagizo mawili ya plau. on ~ imeagizwa. made to ~ (kitu) kilichotengenezwa kwa maagizo (colloq) a tall/large ~ jambo gumu la kutekeleza order-book n kitabu cha maagizo; vitu vilivyoagizwa your ~ has been sent maagizo yako yamepelekwa. 7 maagizo (ya maandishi) ya kulipa fedha au kuidhinisha kutenda jambo. 8 aina, jinsi, cheo, daraja, tabaka the lower ~ watu wa tabaka ya chini ability of a high ~ uwezo wa juu kabisa. 9 upadri, ukasisi. be in/take (holy) ~ wa padri/kasisi; pewa upadiri/ ukasisi. 10 chama/shirika la watawa The Franciscan ~ Shirika la Wafransiska. 11 kanuni the ~ of prayers kanuni ya sala. 12 (bio) oda. 13 hawala, hundi, hati money ~ hawala ya fedha. 14 madhumuni, kusudi. in ~ that/to makusudi; ili. in ~ to do that ili kufanya hivyo. 15 kibali I have an ~ to see the house nina kibali cha kuangalia nyumba. vt 1 panga. 2 amuru, agiza. 3 (phrases) ~ about amrishaamrisha, peleka huku na kule. ~ away fukuza. ~ back rudisha. ordering n mpango, mpangilio. orderly adj 1 kwa mpango, -zuri. 2 makini, -enye adabu, -a amani n askari mtumishi. medical ~ly n msaidizi (katika hospitali ya jeshi). orderliness n.