orchestra

n 1 (mus) okestra: kundi la watu wapigao muziki pamoja. 2 ~pit n ukumbi wa wapigao muziki kwenye thieta. 3 ~stalls n viti vya mbele katika thieta. orchestral adj -a okestra. orchestrate vt (mus) tunga; panga, tengeneza utaratibu (kwa ajili ya okestra).orchestration n.