orbit

n mzunguko; mzingo ~ of the earth mzingo wa dunia the earth's ~ round the sun mzingo wa dunia kuzunguka jua eye-~ mzingo wa jicho. vt,vi enda kwa mzingo, weka (kitu) katika mwendo wa kuzunguka. orbital adj. ~al velocity n mwendo wa kuliweka tufe kwenye mzingo.