orate

vi (joc) hutubu. oration n hotuba rasmi. orator n msemi, msemaji, mhutubu, mwenye ufasaha wa kusema. oratorical adj -a ufasaha wa kusema; -a hotuba. oratory n 1 ufasaha wa kusema/kuhutubu, usemaji. 2 kanisa dogo, kijumba cha kusalia.