orange

n chungwa; (bitter) danzi; (mandarin) chenza; kangaja; rangi ya machungwa. orangeade n maji ya machungwa ~ -peel n ganda la chungwa. orangery n shamba la michungwa.