optic

adj -a macho. n jicho. ~als n elimu ya nuru. optical adj -a macho. ~al illusion n mazingaombwe, madanganyo ya macho, mauzauza ~al instrument ala ya macho (miwani, darubini n.k.). optician n mtengenezaji/mwuzaji miwani.