opposite

adj 1 opposite (to) mkabala, -a kuelekeana, -a/ -enye kukabili opposite sides pande zilizoelekeana. 2 kinyume. 3 wajina (wa), wa cheo/nafasi sawa (katika kundi jingine). one's opposite number mtu mwenye cheo sawa na chako katika asasi nyingine.