opportune

adj 1 (of time) -a kufaa, -a wakati maalumu. 2 (of event) -liotokea wakati unaofaa. ~ ly adv. opportunism. n msimamo wa liwezekanalo/kufuata upepo, kuongozwa na matukio katika kuamua jambo la kufanya. opportunist n mfuata upepo, mtu atumiaye matukio halisi katika maamuzi yake; mtu mwenye kuangalia masilahi yake zaidi kuliko haki au uhalali wa jambo. opportunity n nafasi, fursa, wasaa take the opportunity of tumia nafasi ya, tumia fursa.