opinion

n 1 oni, wazo,dhana. expressed ~ kauli. in my/your ~; in the ~of somebody kwa maoni yangu/yako; ya mtu. act up to one's ~s tumia/ongozwa na maoni yako. a matter of ~ jambo lisilohakika, si yakini, jambo linalojadilika. be of the ~ that dhani, ona. have a good/bad/high/low ~of somebody/ something heshimu/dharau n.k. mtu I am of your ~nakubaliana nawe. 2 maoni, imani, ya kundi ~ of the court maoni ya mahakama. public ~ n maoni ya umma. 3 ushauri/shauri get a lawyer's ~ pata shauri la mwanasheria. ~ated; ~ative adj -lioshikilia maoni yake, -shupavu.