open

adj 1 wazi, -eupe the door is open mlango u wazi. ~ eyed adj -enye macho wazi, -lio na makini; -a mshangao. open-mouthed adj -lafi; -liopigwa bumbuazi, lioduwaa. ~ vowel n irabu wazi. ~ work n nakshi/urembo katika lesi n.k.. 2 -sio zingirwa, -sio ua, -sio na kizuizi. the ~ sea n bahari kuu. an ~ river n mto unaopitika bila kizuizi. 3 siofunikwa, wazi, siokipaa an ~ boat mtumbwi wazi an ~ drain/sewer mtaro in the ~ air nje. open-air attrib adj -a kufanyika nje an ~-air dance dansi inayochezewa nje. ~ prison n kifungo/ jela ya nje; isiyobanabana. ~ air theatre n uwanja wa nje wa maonyesho; maonyesho ya nje, jengo la tamthilia lisilo na paa. 4 -liochanua; -liosambazwa the flowers were all ~ maua yote yalikuwa yamechanua the papers lay ~ on the floor karatasi zilisambaa kwenye sakafu. with ~ hands kwa moyo mkunjufu, kwa wingi wa fadhila. openhanded adj karimu. ~ hearted adj (m) kweli. with ~ arms kwa upendo/raghba. ~ order adj (of troops) -lioachana sana kwa nafasi; -a watu wote; -a bure, -a wazi an ~ competition mashindano ya watu wote/wazi. the ~door n sera ya biashara bila ushuru, huru; kuruhusu wafanyabiashara wa kigeni nchini. the ~shop n kiwanda ambapo wafanya kazi wanachama na wasio wanachama wana maslahi na utetezi sawa. keep ~ house wa karimu kwa watu wote. 5 -siotolewa uamuzi. ~ ended adj (of a debate etc) wazi, -sio na hatima maalumu. an ~question n swali lisilokuwa na jibu moja/lisilohitaji kukatiwa shauri. an ~ verdict n uamuzi usomshitaki mtu/unaodhihirisha sababu ya kifo bila kusema kama ni cha ajali/makusudi/faradhi n.k.. have/keep an ~ mind (on something) tofikia uamuzi; -wa tayari kupokea mawazo/mashauri mapya n.k. 6 dhahiri an ~ scandal -kashfa dhahiri. an ~ letter n barua inayo chapishwa jaridani. 7 -siolindwa, -siokingwa. be/lay oneself ~ to something kaa bila kujikinga; karibisha. 8 -siohitimishwa, -siofungwa, -siokamilika. 9 (phrases) ~and shut adj wazi, dhahiri shahiri. ~ cast adj -a juu ya ardhi. an ~ cheque n hundi wazi. ~ court n mahakama wazi/hadharani. the ~ season n (fishing and shooting) msimu huru/wa uwindaji/pasipo kuzuiwa. an ~ secret n siri isiyokuwa siri; siri ya wazi. the O~ University Chuo (Kikuu) Huria: chuo kikuu ambapo masomo yanaendeshwa kwa njia ya posta, redio, televisheni n.k.. ~ weather; an ~ winter n majira shwari ya baridi/yasiyo kuwa na barafu nyingi. n the ~ nje. come (out) into the ~ (fig) jitokeza toa wazo/mpango n.k. hadharani adv waziwazi, bila siri; kwa ukweli; kwa watu wote. openness n uwazi; unyofu. vt,vi 1 fungua; funguka; funua; funuka ~ the door fungua mlango ~ the pot funua chungu.~ one's eyes shangaa; zinduka. ~ (somebody's) eyes to something fumbua, elewesha. 2 toboa; kata ~a well chimba kisima ~ a road through a forest kata, toboa barabara katikati ya msitu. ~ something up fungua, fungulia, endeleza; tandaza, sambaza; kunjua ~ out a folding mat kunjua/tandaza mkeka. ~ one's mind/heart to somebody toa/tangaza maoni/hisia za mtu. 3 fungua/anzisha rasmi ~ a shop fungua(rasmi) duka ~ a meeting fungua (rasmi) mkutano ~ a project anzisha/zindua mradi. ~ the bidding anza kunadi. ~ fire (at/on) anza kupiga bunduki/risasi. 4 ~ with anza na. 5 ~ out onekana opener n mfungua, kifungua. opening n 1 nafasi wazi there's an ~ing in the treasury kuna nafasi ya kazi hazina. 2 kipenyo; mlango; tundu, ufa. 3 mwanzo; the ~ing of a speech mwanzo wa hotuba. the ~ing night usiku wa kwanza wa kuonyesha. 4 nafasi/uwanja wazi, upenu adj -a kwanza. ~ ing time n saa/wakati wa kufungua (shughuli).